Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, October 7, 2021

TASWIRA MKUTANO WA MAWAZIRI WAWILI NA WAMACHINGA MORO

 

MAJADILIANO YA MAWAZIRI.

Waziri wa TAMISEMI Mh Ummy Mwalimu[kushoto] akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo  kabra ya Mawaziri hao kuzungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo’Wamachinga’ wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.

 

Mkutano huo ulifanyika hivi karibuni nje ya Soko Kuu la Mkoa wa Morogoro. Angalia Picha nyingine za Viongozi wa Mkoa wa Morogoro kwenye Profari la Mtandao huu. anayeshuhudia mazungumzo hayo kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Martine Shigella

Picha zote na Dunstan Shekidele Morogoro.


WENYE MJI WAO WA MOROGORO.

Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood[Mwenye Barakoa] akiwa na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mh Pascal Kihanga'Kulia

MAELEKEZO.

Waziri wa TAMISEMI Mh Ummy Mwalimu akimpa Maelekezo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Martine Shigella

.

lkumbukwe Mh Ummy Mwalimu ni Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini na Mh Shingella kabla ya kuhamia Mkoani Morogoro hivi karibuni alikuwa mkuu wa Mkoa wa Tanga.6

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...