Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 16, 2021

MKUU WA WILAYA MORO AZINDUKA MICHUANO YA BANDARI TANZANIA.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando akikaguo moja ya timu za Bandari ikiwa ni kiashiria cha uzingumzi wa michuano hiyo ya Bandari zote Tanzania Bara na Visiwani

















 


Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Albert Msando juzi amefungua mashinda ya Bandari yanayoendelea kwenye uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro.

 

Mashindano hayo yenye lengo la kujenga afya za kimwili na kiakili kwa wafanyakazi wa bandari zote nchini Bara na Visiwani yameanza Septemba 13 na yatafika tamati Septemba 20.

 

Tamasha hilo linajumuhisha michezo yote ikiwemo Bao, Riadha, Mpira wa Miguu, Mpira wa Pete, Basket Ball, Kuvuta Kamba, na kurusha Tufe.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...