Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, September 21, 2021

MASHINDANO YA MAGARI MORO, DEREVA KUTOKA KENYA ATIA FOR A.









Dereva kutoka Kenya akifurahia kupigwa Picha na Mpiga Picha wa Mtandao huum Mara baada ya kupiga Show kali Viwanja vya Tumbaku.






Siku iliyofuata gari hili liliuwasha moto vilivyo kwenye mbio hizo na kila Mara mashabiki walilishangilia 

 Wakati show hiyo ikiendende gari hili lilichemsha wafundi wakijitahidi kuliweka sawa


 

                             Na Dunstan Shekidele, Morogoro.

Wiki iliyopita Mashindano ya Magari yalifanyika kwa siku mbili Mkoani Morogoro, ambapo Jumamosi iliyopita Maderava hao walifanya show kwenye viwanja vya Kiwanda cha Tumbaku Mkoani hapa na siku iliyofuata Jumapili walikimbia kwenye Mashamba ya Mikonge Kata ya Tungi jirani na Mnada wa Ng’ombe, Mbuzi na Kondoo.

 

Katika Show hiyo dereva kutoka nchini Kenya alikuwa kivutia kwenye show hiyo iliyofanyika Tumbaku, huku madereva kutoka Mikoa ya Arusha, Dar na Morogoro nao wakikong’a nyoyo za Mashabiki.

 

Leo Mtandao huu unarusha picha za show iliyofanyika Jumamosi na kesho Mtandao huu utarusha Picha za madereva hao wakifukuzana kwenye Mashamba ya Mkonge Jirani na Uwanja wa  Maonyesho ya Wakulima ‘Nane nane’ eneo  la Tubuyu Kata ya Tungi.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...