Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, September 22, 2021

MADEREVA WALIVYOTIMUA VUMBI KWENYE MASHINDANO YA MAGARI MOROGORO

Utamu wa mbio za magari uko eneo la Kona hivyo Mpiga Picha wa Mtandao huu alitega kamera zake za kisasa kwenye moja ya kona na kurekodi matukio yote A-Z




























.

                            Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Jumapili iliypita wakazi wa Manispaa ya Morogoro walienjoy show ya Mashindano ya Magari.

 

Madereva zaidi ya 10 walicheza mchezo huo wa kufukuzana na magari kwenye shamba la Mkonge lililopo eneo ya Nane Nane Tubuyu Kata ya Tungi Manispaa ya Morogoro.

 

Baada ya kukamilika kwa mbio hizo madereva wote walitinga hotel ya Cat iliyopo Kingulwira Manispaa ya Morogoro ambapo huku washindi walikabidhiwa zawadi zao.

 

Baadae Mtandao huu utarusha Clip Video za mashindano hayo hivyo usicheze mbali na Mtandao huu muda wote ushuhudia madereva hao walivyotimua vumbi kwenye kona kali.

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...