Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 9, 2021

KUMBUKIZI YA BABA NA MWANA.

Mwandishi wa Mtandao kuu [kushoto] akizungumza na Mzee Ngassa
Mchezaji nyota wa zamanai wa Simba Mrisho Kalfan Ngassa
Mwa dishi wa Mtandao akiwa na Mzee Tegete kwenye Mitaa ya Mji wa Morogoro

              Mchezaji wa zamanai wa Yanga Jerrson Tegete


 Mwandishi wa Mtandao huu akiwa na Wazazi wa wachezaji nyota wa zamani wa Simba na Yanga. Mrisho Kalfan Ngassa’Simba’ na Jerrson Tegete’Yanga’ Mzee na Ngassa na Mzee Tegete kwa nyakati tofauti waliwahi kuifundisha timu ya Toto Afrika ya Jijini Mwanza.

        


No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...