Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, September 7, 2021

WATANZANIA WANAJAMBO LAO UWANJA WA MKAPA JIONI YA LEO


KUMBUKIZI.

Makocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Mtanzania John Simkoko[kushto] akiteta Jambo na Kocha wa zamani wa timu hiyo Mbrazir Marcio Maximo.

 

Wawili hao walinaswa na Kamera za Mtandao huu kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro miaka kadhaa iliyopita.

 

Kila lakheri Taifa Stars kwenye mchezo wetu wa leo


 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...