Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, August 17, 2021

THE GUNNERS NDONDO CUP, JAMAA APISHANA NA RADIO YA BAHATI NA SIBU.

Mchambuzio Mahiri wa Michezo Mkoa wa Morogoro Salum Mapande[kushoto] akimuongoza Dogo Janja Rashid Nassoro kuokota Moja ya Tiketi za bahati na sibu kw alengo la kumpta smhindi


 

 
                     Na Dunstan Shekidele,Morogoro.
 
MCHAZO wa fainali ya The Gunners ndondo Cup katika ya Wakushi Fc na Chadongo Fc ulichezeshwa mchezo wa bahati na sibu ya kugombe Redio ya Kisasa ya Deck Moja ambapo mshindi aliyeshinda bahati nasibu hiyo ameitwa ameitwa zaidi ya mara 5 hakutokea. 
 
Bahati na sibu hiyo ilichezeshwa kwa Uwazi na Ukweli ambapo mashabiki wote walioingia kwa kiingilio walipewa tiketi zenye vishina vyenye namba ya bahati nasibu. 
 
Wakati wa Mapunziko Mc Mahiri wa fainali hiyo Salum Mapande ambaye pia ni Mchambuzi Maarufu wa Michezo mkoa wa Morogoro akipiga Mzigo Planet Redio kwa kushirikiana na Dogo Janja Rashid Nassoro anayesoma darasa la Saba ambaye aliitwa mbele ya Umati huo wamashabiki akoroge lundo la tiketike hizo kisha akaokota moja na kutaja namba. 
 
Namba hiyo iliitwa zaidi ya mara 5 na Mapande na kwamba muhusika hakutokea Mc huyo aliahidi bahati nasibu hiyo kuludia tena baada ya mchezo huo kutamatika hata hivyo kufuatia wingi wa zawadi kwa washindi wa mchezo huo giza lilitanda na mashabiki wengi waliondoka uwanjani hivyo bahati nasibu hiyo haikuludiwa na Radio hiyo kubaki mikononi mwa Waandaaji.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...