Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, August 8, 2021

SOMO LA LEO JUMAPILI

Mwandishi wa Mtandao huu akizungumza na Askofu wa kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro Mhashamu Teresphor Mkude.
 Mwandishi huyo akizungumza na  Baba Askofu Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro
 

                              YOHANA 8-12.

“ Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru  ya Ulimwengu, Yeye anifuateya hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.”

Hili ndilo neno letu la leo Jumapili ya Agost 8.

                       


 


No comments:

Post a Comment

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.   ......Shekidele akiungana kwen...