Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, August 9, 2021

HII KALI TAA YA BARABANI YANG’OLEWA NA KUWEKWA YUMBA YA KULALA WAGENI ‘GEST HOUSE

Taama mali ya serikali ikiwa eneo la Nyumba ya Kulala wageni Gest House

 Moja ya taa za barabani inayodaiwa kugongwa na gari

’.

                         Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

SIKU cha baada ya Mtandao huu kuripoti habari za taa za barabarani kuangushwa kwa kile kilichoelezwa kugongwa na gari,huku nyingine zikidaiwa kuibiwa na Vibaka hatimaye mmoja ya taa hizo za Sola imekutwa kwenye geti la nyumba ya kulala wageni’Gest House’.huku ikiwa imeng'olewa kichwa cha taa

 

Jana Mtandao huu umetinga kwenye gest hiyo kwa lengo la kuzungumza na Mmiliki wa nyumba hiyo ya geni kulikoni taa hiyo ya serikali kuwepo eneo la nyumba lake.

 

Kwa bahati mbaya mmiliku huyo hakuwepo hivyo muda huu Mtandao huu unatinga tena kwenye gest hiyo kwa lengo la kuzungumza na Mmiliki pamoja na Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa huyo.

 

Kwa undani wa habari hiyo ya chini ya kapeti endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote kwa lengo la kusikia anachoongea mmiliki huyo wa gest na Mwenyekiti wa Mtaa


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...