Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, August 28, 2021

MUNGU AWATUA MIZIGO WATU WALIOMUAMINI

Mungu Kupitia Mtumishi wake Shekidelea alimkabidhi kitita cha Laki 6 Mlemavu Msafiri Jeremia aliyegongwa na tren na kukatwa Mguu na mkono wakati akifanya biashara kwenye stesheni ndogo ya Kilosa Morogoro
Matama akishuhdua Mafundi wakipima leman ya Nyumba yake baada ya kufanikiw akununulia kiwanja na Mungu
                     Ujenzi wa nyumba hiyo ukiendelea
Nyumba hiyo ikikalibia kukamlika, ambapo kwa sasa imeshakamilika na Athumani Mohamed Matama amepewa kibari na Mungu kuhamia kwenye Mjengo wake huo wa kisasa baada ya kupitia changamoto nyingi kwenye nyumba ya kupanga
Mungu Kupitia Mtumishi wake Shekidele akinunua kilo mia za Unga kwa lengo la kuwapelea watoto Yatima wa Kituo cha Mkitunda Kihonda Morogoro ambao kwa mujibu wa Mlezi wao walikabiliwa na njaa ya kukosa chakula Mungu akasikia kilio chao na kuwapatia Unga huo
Mungu kupitia Mtumishi wake Shekidele akimkabidhi unga huo mkurugenzi wa kutuo hicho huku baadhi ya watoto hao watima wakishuhudia tukio hukio hilo
..Mzifo Mzito wa changamoto ya Kimaisha aliyoipitia Matama kwenye nyumba ya kupanga kabla ya Mungu kumjengea Nyumba ya Kisasa na kumtua Mzigo huo Mzito

 Mwandishi wa Mtandao huu akiwa na Matama siku walipoend  kununua Kiwanja maeneo ya Kichangani

MATHAYO 11-28-30

“Njoo kwangu nyinyi nyote  Msumbukao na wenye  kulemewa na mizigo, nami nitawapunzisha.

Jitieni nira yangu,mjifunze kwangu,kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu. Kwa maana nira yangu ni laini na Mizigo yangu ni Mwepesi”

 

Hilo ndilo neon letu leo Jumapili ya Agost 29.

           


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...