Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, August 29, 2021

KUELEKEA KILELE CHA YANGA DAY, MASHABIKI SIMBA WATUPA DONGO.

                      YANGA Daya Simba watupa dongo

 


                          Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

JANA ni kilele cha Siku ya Mwananchi’Yanga Day’ambapo takribani wiki nzima wananchana na wapenzi wa timu hiyo kote nchini waliadhimisha wiki hiyo ya Mwananchi kwa kufanya shughuli za kijamii ikiwemo kutoa misaada kwa watu wenye uhitaji.

 

Kilele cha siku hiyo ya Mwananchi kiliadhimishwa jana kwa wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuzajana uwanja wa Mkapa Temeke jijini Dar.

 

Kwenye Tamasha hilo lilipambana na burudani mbali mbali wakiwemo msanii Mkongwe kutoka DR Congo  Papaa Koffi Olomide na Msanii nyota nchini wa kike Nandy ambaye aliingia uwanjani hapo jana aliwanda ndani ya sanduku lwenye langi za Njano na Kijana na Mwisho wa burudani hizo Mabingwa hao wa kihistoria walitest mitambo yao Mipya’Wachezaji’ kwa kukipiga na Zanako ya Zambia na kuambulia kichapo cha bao 2-1.

 Wakati hayo yakiendelea Jijini Dar Mwandishi wa Mtandao huu alikatiza Maeneo ya Mji Mpya kwenye tawi kuu la Simba la Mkoani Morogoro na kushuhudia bango hilo likiandikwa maneno ya Shombo .kama linavyosomeka pichani hii ni kuendeleza utani wa Jadi wa timu hizo kongwe nchini.   

 

Mtandao huu haujang’amua Mara Moja vibwenge kwenye Tamasha hilo ni kinanani.

 

lkumbukwe  viongozi wawili waandamizi wa Simba  Mkuu wa kitengo cha habari na Mawasiliano Haji Manara na Afisa Mtendaji Mkuu’C’E’O Senzo Masingi raia wa Afrika Kusini waliihama timu hiyo na kujiunga na Yanga kwa nyakati tofauti na jana walikuwepo kwenye Tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...