Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, August 3, 2021

MKUU WA MKOA WA MOROGORO KWA KUSHIRIKIANA NA MWENYEKITI WA MOROPC LEO WAMEZINDUA CHANJA YA COVID 19

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela akipatiwa Chanjo ya covid 19 leo ikiwa pia ni ishara ya uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye mkoa huo


 Mwenyekiti wa Chama cha waandfishi wa habari Mkoa wa Morogoro, Nickson Mkilanya naye akipatiwa Chanjo hiyo


                      Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Martine Shigela na  Mwenyekiti wa Chama Cha Waandishi wa habri Mkoa wa Morogoro Nickson Mkilanya leo Agosti 3 wameshiriki kwenye uzinguzi wa Chanjo ya Covid - 19 kwenye  Kituo Cha Afya Cha Saba saba  Manispaa ya Morogoro.

 

Mkuu wa Mkoa ilizindua  Chanjo hiyo ili ianze kutolewa kwa wananchi wake wa Mkoa mzima wa Morogoro kwa wale wanaohitaji kinga hiyo ya Corona.

 

Kwenye Group la WhatSsap la Waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro Mwenyekiti Mkilanya aliwaeleza Waandishi hao uhumuhi wa Chanjo hiyo.   

 

Miongoni mwa Waandishi wa habari waliomuelewa Mwenyekiti huyo ni pamoja na Mwandishi wa Mtandao huu.

 

Vituo vya Chanjo hiyo vimesambazwa maeneo mbali mbali ya Mkoa wa Morogoro.


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...