Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, July 26, 2021

SHINDANO LA KUMSAKA MRIMBWEDE WA MKOA WA MOROGORO’MISS MORO 2020-21’ KUFANYIKA JULAI 30.

 Raudhat Khamis 20 Years  Kutoka Jimbo la Mlimba Kwa Mh Suzan Kiwanga 
         Ester Bebelwa23] Kutoka Jimbo la Kilombero
                 Prosvia Mitti20] Kutoka Jimbo la Mikumi
Teresi Yasin23] Mkazi wa SUA Jimbo la Morogoro Mjini Kwa Mh Aziz Abood
              Chipegwa Julius 20] Kutoka Jimbo la Mlinyi
Neema George20] Kutoka Jimbo la Gairo Kwa Mh Shabiby Line Mrembo huyu anapewa nafasi kubwa ya kutinga 3 bora
Yusta Benjamini20] Kutoka Jimbo la Morogoro Vijijini Kwa Mh Hamis Tale Tale 'Babu Tale'

Mratibu wa shindano hilo Alex Niktas akihojiwa na Mwandishi wa Mtandao huu leo jioni ndani ya hotel ya Oasis
                          ....Akizungu,za na Warembo hao
Warembo 9 watakao gombea kinyang'anyiro cha kumsaka Mrembo wa Mkoa wa Morogoro, kwa Mujibu wa Niktas warembo wawili wameomba udhuru leo hawakuwepo warembo hapo  ni Halima Thomas Jimbo la Kilosa na Emanuele Celestene Kutoka Jimbo la Mvomero


 Mratibu wa shindano hilo Niktas akiwa na wakufunzi wa warembo hao kwa pamoja wakipiga Picha na mamis hao leo jioni


                               Na Dunstan Shekidele,Morogoro,

WAREMBO 9 kutoka Majimbo yote 9 ya Mkoa wa Morogoro keshokutwa Julai 30 watachuano vikali kumsaka Mrimbwende wa Mkoa wa Morogoro’Miss Morogoro 2020-21’ atakayebeba bendera ya kuuwakilisha Mkoa wa Morogoro kwenye shindano la Miss Kanda ya Mashariki linalotarajiwa  kufanyika hivi Karibuni.

 

Kanda hiyo ya Mashariki inaunda Mikoa wa Morogoro, Pwani, Lindi na Mtwara ambapo warembo watatu watakaochaguliwa na Majaji wataiwakilisha kanda hiyo kwenye shindano la Miss Tanzania 2020-21 linalitarajia pia kufanyika baadae mwaka huu.

Leo Majira ya jioni Mratibu wa shindano hilo  Alex Niktas’Obama wa Mji Kasoro Bahari’ alimtwangia simu Mwandishi wa Mtandao akisema.

 

” Shekidele njoa Oasis iwapige Picha Warembo wangu uwarushe kwenye Blog yako”

 

 Fasta Mwandishi wa Mtandao huu alipiga gia Pikipiki yake ya Mwendo Kasi hadi hotelin hapo na Moja kwa moja alipofika aliingia kazi kuwapiga Picha warembo hao, Mara baada ya zoezi hilo kukamilika Mtandao huu ulifanya mahojiano na Niktas ambaye alisema.

 

 “Mwaka huu tumeamua kuchukua mrembo mmoja kila jimbo la Mkoa wa Morogoro na kwamba shindano hilo, litafanyika Mwisho wa Mwezi huu Julai 30 kwenye hotel ya Oasis iliyopo barabara ya Stesheni Mkoani hapa.

 

Panapo Majariwa ya Mwenyezi Mungu Mwandishi wa Mtandao huu alikuwepo kwenye shindano hilo kusaka habari za chini ya Kapeti hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...