Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, July 28, 2021

PAPARAZI AVUNJA KICOBA ATINGA KWA HUSSEIN MASOFO KUNUNUA FENICHA


Wafanyakazi machachari wa Hussrin Masofa wakijianda kupakia Sofa hiyo  kitaalamu kwenye Pikipiki ya Mwandishi wa Mtandao huu

Bidhaa kutoka Hussein Masofa akiwasili nyumbani hana usiku,jinsi ilivyo imara hata kwenye Pikipiki unasafirisha

 

.                                                   Na Mwandishi Wetu.

HUSSEIN Masofa ndio habari ya Mujini kwa sasa,baada ya juzi Kada ya CCM kutinga kwenye duka hilo na kufanya yake, Mwandishi wa Mtandao huu naye baada ya  kuvunja Kicoba ametinga kwenye duka hilo na kununua Sofa Matata kwa bei ya kawaida kabisa.

 

Mwandishi wa habari hizi aliyekuwa akicheza mchezo huo wa kupeana Pesa’Vicoba’ na Marafiki zake Madereva na Makondakta wa daladala Manispaa ya Morogoro hatimaye jana Kikoba hicho kilivunjwa na kila Mtu kupewa hisa yake.

 

Paparazi  baada ya kukunja Mkwanja huo  Jana Majira ya saa 12 jioni Moja kwa Moja alitinga kwenye duka la kisasa la Hussein Masofa na kununua Sofa hilo.

 

Alipokabidhiwa  alilipakia kwenye Piki piki yake na kuelekea Maskani yake Pande za Mji Mpya na baadae alierekea nyumbani kwake.

 

Kwa wakazi wa Mkoa wa Morogoro na Mikoa ya Jirani ama kwa hakika Hussein Masofa ndio jawabu la mahitaji yako ya Fenicha za majumbani na zile za Ofisini.

 

Hii ni kwa sababu Mmiliki wa dukani hilo Bw Hussein Masofa anasema kwake yeye Mteja ni Mfalme So licha ya kupanga bei lakini hutoa nafasi ya Mazungumzo na Mteja kujua kiasi alicho nacho ili asiondoke dukani hapa bila kupata huduma.

Hii inadhibitishwa kwa Macho Makavu na Mwandishi wa Mtandao huu ambaye bei aliyotajiwa kwenye sofa hilo la Mtu Mmoja ni tofauti na bei aliyolipa.

 

Kwa yeyote anayehitaji huduma kwenye duka hilo awasiliane Moja kwa Moja na Mmiliki wa dukani hilo Hussein Masofa kwa namba 0655 550 678.  

 

Aidha kuna ofa kadhaa, ukinunua Mzigo Mkubwa utapewa usafiri bure mpaka nyumbani na wale wanaonunua Vitanda pia watafungiwa bure watakapofika nyumbani.

 

Kama nyumbani kumenoka fenicha za kisasa kutoka Hussein Masofa hata kama shemeji kachelewa kupika ugari baba mtu njaa haiumi kwani ulipokalia sofa la Husseina Masofa unanyemka ikilalia kindanda cha sofa kutoka Husseina Masofa huwezi kuota ndoto za ajabu ajabu utaota ndoto za Michongo ya Pesa.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...