Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, July 28, 2021

KADA MAARUFU WA CCM ATINGA KWA HOSSEIN MASOFA.

Kada Maarufu wa CCM Mkoa wa Morogoro Jackline Meena
.            ...Akiwa kwenye Moja ya Sofa ambalo amelinunua


 

Na Dunstan Shekidele, Morogoro.

 

Kada Maarufu wa Chama Cha Cha Mapinduzi’CCM’ Mkoa wa Morogoro Jackline Meena’Maarufu Jack CCM’juzi ametinga kwenye duka Maarufu la Kuuza Fenicha za Kisasa Mkoani Morogoro’Hussein Masofa Shop’na kununua Fenicha kadhaa.

 

Akizungumza na Mtandao huu Jack alisema amevutika baada ya kuona Tangazo la Hussein Masofa kwenye Mtandao huu.

”Kama unavyojua sisi wakazi wa Mkoa wa Morogoro wengi wetu kila siku lazima tuingia kwenye Blog ya Shekidele kujua habari za Mkoani kwetu.

 Juzi baada ya kuinga kwenye blog hiyo nimekutana na Tangazo la Husseina Masofa nikachukua namba za simu kwenye Tangazo hilo nikapiga na Mmiliki wa duka akanielekeza hapa nikaja na kupata bidhaa kwa bei nzuri"alisema Kada huyo wa chama tawala nchini.

 

Duka hilo la Hussein Masofa liko Mji Mpya  Kando kando ya barabara kuu ya kutoka Mji kuelekea Msamvu jirani na Tanesco Mkoa wa Morogoro.


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...