LEO Octobar 14.2025 Mwasisi Mzalendo wa Taifa la Tanzania Mwalimu Juliusi Kambarage Nyerere'Baba wa Taifa'.ametimiza miaka 26 toka alipofariki dunia Octobar 14 1999.
Mwandishi wa habari hizi anamuenzi baba wa Taifa kwa kuendesha Baiskeri.
Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...
No comments:
Post a Comment