Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, July 19, 2025

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.

 

......Shekidele akiungana kwenye lbada ya kuusubiri Mwaka mpya KKKT Usharika wa Mji Mpya
Teresphori Mkude wa Roman Katoliki Jimbo la Morogoro

Maaskofu hao kwa sasa wamestaafu Mameo akistaafu mwezi uliopita na Mkude alistaafua takribani miaka 5 iliyopita.


 

  

ISSA 57.18-21

“Nimeziona njia zake nami nitamponya nitamuongoza pia nitamrudishia  faraja zake yeye na hao wanaomlilia.

 

Mimi nayaumba matunda ya midomo,Aman,amani kwake yeye aliye mbali na kwake yeye aliye karibu aseme Bwana nami nitamponya.

 

Bali wabaya wanafanana na bahari iiyochafuka maana haiwezi kutulia na maji yake hutoa tope na takataka.

 

Hapana Amani kwa wabaya asema Mungu wangu[There is no peace saith  my God  to the wicked]”

Huu ndio ujumbe wetu wa Neno la Mungu Leo Jumapili ya Julai 20-2025.

Mwenye masikio na alisikie neno hili la Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na Ardhi.           

                           

No comments:

Post a Comment

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.   ......Shekidele akiungana kwen...