Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, December 9, 2024

MATUKIO fainali Ligi daraja la Tatu Mkoa wa Morogoro.


Winga wa timu ya Usalama ya Ulanga Ombeni Kione akimtoka kwa kasi beki wa Kilombero Soccer Net Academy, 

Abubakari Limbanga na kumuacha akiramba nyasi za uwanja wa Jamhuri huku Mwamba Kione akiendelea na safari lake.



Kipa wa Kilo Net kutoka lfaraka Wilaya Kilombero,Philimon Msokile akiruka juu kama nyama na kupangua mpira katikati ya msitu wa maadui zake wachezaji wa timu ya Usalama kutoka Wilaya ya Ulanga.





 Picha zate na Dunstan Shekidele, Morogoro.

No comments:

Post a Comment

MAJAJI 2 WAHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA KIGOGO WA SUA MAREHEMU DKT MBILU.

         Mchungaji Dkt Rhoda Chamshama akiongoza ibada hiyo Katibu Mkuu wa  KKKT Usharika wa Mji Mpya Mshana akimuaga Mzee wake wa kanisa S...