Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, September 3, 2024

KUMBUKIZI YA BABA NA MWANA.


 


Hii ni Septemba 9- 2016 Mpiga picha wa Mtandao huu alimnasa ‘Mwamba’ Haji Manara akigonga Pilau na baba yake Mzazi Mzee Sundar Manara ’Computer’.

Wawili hao walifunga safari kutoka Dar mpaka Moro kushiriki mazishi ya Kocha Maarufu nchini Hayati Mohamed Msomari aliyefariki dunia Septemba 8 -2016 na kuzikwa siku iliyofutana Septemba 9 katika makaburi ya Kolla Manispaa ya Morogoro.

Mastaa kibao kutoka mikoa mbali mbali nchini walishiriki mazishi hayo akiwemo Star Haji Sundar Manara na mzee wake ambaye pia ni miongoni mwa wazee Maarufu nchini.

  Picha na Dunstan Shekidele,Morogoro.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...