Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, August 17, 2024

MTU AKIJARIBIWA ASISEME NINAJARIBIWA NA MUNGU. ANAJARIBIWA NA TAMAA ZAKE



                         YAKOBO.1-13-16.

“MTU ajaribiwapo asiseme ninajaribiwa na Mungu.Maana Mungu hawezi  kujaribiwa na Maovu Wala yeye mwenyewe hamjaribu Mtu.

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.

Halafu ile tamaa ikishakuchukua Mimba huzaa dhambi ikishakukomaa huzaa mauti.

Ndugu zangu wapenzi msidanganyike”.

      ‘Do not erf  my beloved  brethren’

Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya Agost 18, mwenyemasikio na alisikie asiye na masikio[……]


 

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...