Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, August 15, 2024

BABA WA TAIFA AIGA BEDELI ZA BAISKELI

Watu wanarithi vitu vingi kwa Baba wa Taifa.

Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania, Hayati Julius Kambarage Nyerere licha ya cheo chake cha Urais kunanyakati alitembelea usafiri wa Baiskeri.



 Dunstan Shekidele raia wa kawaida wa Tanzania amerithi tukio hilo kwa kuzunguka mitaa mbali mbali ya Morogoro na usafiri wa Baiskeri.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...