Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, January 7, 2024

MTANDAO HUU UNATOA SALAMA ZA MWAKA MPYA 2024 KUPITIA NENO HILI LA MUNGU.


 


ZABUR1 50.21-23

”Ndiyo ulivyofanya nami nikanyamaza.ukadhani ya kuwa mimi ni kama wewe,walakini nitakukemea nitayapanga hayo mbele ya macho yako.

Yafahamuni hayo  nanyi mnao Msahau Mungu,nisije nikawararueni,asipatikane mwenye kuwaponya.

Atoaye dhabibu za kushukuru,ndiye anayenitukuza naye autengenezaye mwenendo wake nitamuonyesha wokovu wa Mungu” Huu ndio ujumbe wangu wa Mwaka Mpya kwa wadau wa Mtandao Pendwa wa Shekidele. Mwenye Masikio na asikie asiye na Masikio […….]

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...