Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, December 2, 2023

MBONA SIKUFA MIMI TOKEA MIMBANI?

Mtumishi wa Mungu Dustan Shekidele akipiga goti  KKKT Usharika wa Kihonda Morogoro
 


AYUBU 3.10-13

“Kwa Sababu haukuifunga Milango ya Tumbo la Mamangu,Wala hukunifichia taabu Machoni.

 Mbona sikufa mimi tokea Mimbani?

Mbona nisitoe roho hapo nilipotoka tumboni?

Mbona hayo Magoti kunipokea? Au hayo Maziwa hata nikanyonye?

Maana hapo ningelala na kutulia,Ningelala usingizi na kupata kupunzika.

”For now Should l have lain still and been quiet,l should  have slept then had l been at rest” Ujumbe wetu wa leo Jumapili ya  Desember 3

No comments:

Post a Comment

KIJIWE NONGWA. UKIONA KAFUTA BANGO UJUMBE UMEFIKA

  Na Mpekunyuzi wa Mitandao Dunstan Shekidele.   Kama kawaida mtumishi wako, kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijam...