Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, October 23, 2023

SHEHE AFUNGUKA VIFAA KUIBIWA MSIKITINI


 Msikiti Mkuu wa Morogoro uliopo barabara ya Boma kata ya Mji Mkuu

MREJESHO wa Stori ya watu wasio julikana kudaiwa kuiba vipaza sauti ‘Mic’ za Msikiti Mkuu wa Morogoro.

Uongozi wa Msikiri huo ulitoa muda wa siku 5 walioiba  kurejesha vifaa hivyo muda huo umepita Je wameresha au la?.

Leo nimefanikiwa kuzungumza na Shehe wa Msikiti huo kujua kama vifaa hivyo vimerejesha au la,na kama avijarejeshwa wamesoma ile dua ya kumshitakia Mwenyezi Mungu kama walivyoahidi?

Majibu ya Shehe huyo yataruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...