Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, October 19, 2023

BAHARI YA MKOA WA MOROGORO HII HAPA


 

KUMBUKIZI.

Waluguru walonga ‘Morogoro Mji Kasoro Bahari’.

Kwa sasa Mji huyo wa Morogoro wenye Vivutio Vingi na Vipaji lukuki umejaliwa kupata Bahari ya Mindu’Ziwa la Mindu.’

 Ziwa hilo lipo Kata ya Mindu unayoongozwa na rafiki yangu Mwamba sana ‘Komredi’ Zubari Mkalaboko lipo takribani kilometa  5 kutoka Morogoro Mjini kando kando ya barabara kuu ya Moro- lringa.

Awari siku za siku kuu na Wiki end watu huenda kula raha kwenye ufukwe huo uliopo pia jirani na kambi ya Jeshi ya Mzinga upande huo unaoonekana Mlima Uluguru.

lfahamike Maji ya Ziwa hilo ndio yanayosambaa kwenye mabomba wote ya Mji wa Morogoro watu wakiyatumia kwa shughuri mbali mbali ikiwemo kunywa na kupikia.

Hata hivyo raha hiyo ya wanamorogoro kula raha kwenye ufukwe huo ilidumu kwa muda mchache  baada ya serikali ya Mkoa kupiga Mafuruku watu kufika kwenye Ziwa hilo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...