Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, September 24, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU.

Mtumishi wa Mungu Dunstan Peter Shekidele akiwa nyumbani mwa Bwana kanisa la KKKT Usharika wa Kihonda akipiga magoni akimshukuru Mungu kwa makuu mengi anayomtendea ikiwemo zawadi ua uhia.
Mtumishi wa Mungu Shekidele akiwa kando ya maji ya utulivu ya Mto Ngerengere  jirani na kiwanda cha Mkonge cha Tungi Morogoro akiwa na mlinzi wa kiwanda hicho.
 Mtumishi wa Mungu Shekidele akishuka bonde la Milima ya Uluguru Tarafa ya Mgeta Wilaya ya Mvomero.

........Akikatiza katikati ya mbuga ya wanyama wa kali ya Mikumi wakiwemo Simba, Chui na Tembo bila kuogopa mabaya hayo kwa maana ameamini  Mungu yupo pamoja naye.


ZABURI 23. 1-6

“Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu.

Katika Malisho ya Majani mabibichi hunilaza,kando ya maji ya utulivu,huniongoza.

Hunihuisha mafsi yangu,na kuniongoza katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.

Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti sitaogopa mabaya.kwa maana wewe upo pamoja nami.Gongo lako na fimbo yako vya nifariji.

Waandaa meza mbele yangu,machoni pa watesi  wangu, Umenipaka mafuta kichwani pangu,na kikombe changu kinafurika.

Hakika wema na fadhili zitanifuata,siku zote za maisha yangu,nami nitakaa nyumbani mwa bwana milele”

“Surely goodness and mercy shall follow me all the  days of  my life  and  I will dwell in the house  of the lord for ever”

                                


 

 


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...