Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, September 3, 2023

MASHABIKI WA ARSENAL KESHO TUAMKE SAA NGAPI?

            Shekidele Mkude Simba Shabiki lia lia wa Arsenal

 

.

               Na Shabiki wa Arsenal.

Kunatofauti Kubwa kati ya Nuru na Giza, Kunatofauti kubwa kati ya Mbingu na Ardhi.

Kunatofauti kubwa kati ya Mimba na Kitambi.

Kuna tofauti kubwa kati na Mke na Mchepuko.

Kuna tofauti Kubwa kati na Arsenal na Man U.

                 NUKU.

Rimao linaondoa shombo  sio kichefuchefu.

Mtumbwi wa Ziwani hauingia Shell kujaza mafuta.

Ligi kuu ya England Arsenal’Chama la Wana’ jioni ya leo imefanikiwa kukata ngebe za timu  ya Manchester Uinted baada ya kuiangushia kichapo cha mbwa mwizi cha bao 3-1.

 

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...