Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, August 25, 2023

UNAHITAJI HUDUMA YA KEKI USIHANGAIKE JIBU LAKO NI CARIS CAKES


















 

 

CARIS  Cakes ni Mabingwa wa kutengeneza keki aina zote jijini Dar es salaam, ukiwa na shughuri yako yoyote inayohitaji keki Usisitekuwasiliana nao kwa namba hizo ambazo ziko kwenye baadhi ya keki  ambazo zote zimetengenezwa na kudizainiwa na Tumain’Rehema’ Dustan Shekidele ambaye ni bint wa Mwandishi wa Mtandao huu.

Caris Cakes wanatoa huzuma hiyo ya keki  maeneo yote ya jiji la Dar es salaama kwa bei bei nafuu kabisa, kwao ubinadamu wanaupa kipaumbele kuliko biashara.

Kwa maana hawaachi pesa wanatengeneza keki kutokana na uwezo wa mteja wao,  Caris Cakes wanasema hata ukiwa huna ‘Cash Maney’ utakabidhiwa keki yako kwa maelewano Maalumu kwao Mteja na Mfalme.

Hizi ni baadhi ya Keki zilizotengenezwa na Caris Cakes, keki hizi zinaviwango vya kitaifa na Kimataifa.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...