Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, May 27, 2023

WACHUNGAJI KKKT NA ANGLIKANA WAUNYESHANA KAZI KWENYE MPIRA WA MIGUU


 

Tamasha ya kuadhimisha miaka 25 ya Taasisi ya kukuza na kuibua Vipaji ya Moro Youth na Moro Kids, kwenye tamasha hilo pia kulikuw ana mchezo wa kirafiki kati ya Wachungaji wa Kanisa la KKKT Jimbo la Morogoro na wachungaji wa Kanisa la Anglikani Jimbo la Morogoro. Katika gemu hiyo timu bora ya wachungaji wa KKKT wameishushia kichapo kizito timu ya wachungaji wa Anglikana.

Pichani  Mchungaji Kiongozi wa kanisa Kuu  la Anglikana ambalo liko jirani na mzunguko wa barabara ya SUA Vedasto Vahaye[kushoto mwenye jezi nyeusi] akimtoka beki kisiki waMchungaji Kiongozi wa KKKT Usharika wa Majengo Kihonda  Thomas Poul ambaye pia ni Mkuu wa Jimbo la Morogoro. Habari kamili na Picha kibao wa gemu hiyo zitaruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...