Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, May 3, 2023

KUMBUKIZI.SIKU YA MAADHIMISHO YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIA


 



WANACHAMA WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO

Kutoka kushoto,Mpiga picha ya SUATV Deo, Aziz Msuya,Mratibu wa chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Moro Thadei Hafigwa,mwandishi wa chanel Ten Jimmy Mengele,mwandishi wa Nipashe,Ashton Balaigwa,mwenyekiti mstaafu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Moro Bon Mtalimbo na Hamida Shariff Mwandishi Mwandamizi wa magazeti ya mwananchi.

 

Wengine ni mwandishi Mstaafu Mh Samwel Msuya ambaye kwa sasa ni diwani wa kata ya Mbuyuni Kupitia lesen ya CCM na Mwisho ni Mwandishi  Dustan Shekidele' Mkude Simba'

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...