Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, May 22, 2023

KUMBUKIZI.


 


Kikosi cha Simba kilichoanza kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Polisi Morogoro. 
 
Gemu hiyo ilipigwa 9-4-2018 Uwanja wa Jamhuri Morogoro,Licha ya kuwa mimi ndiye iliyepiga Picha hii lakini chaajabu nawakumbuka robo 3 ya wachezaji wa kikosi hicho huku nikiferi kuwakumbuka waliobaki. 
 
Naanza kuwataka ninaye mruka simkumbuki kutoka kulia waliochuchumaa ni Shomari Kapombe’baba Esther’ Asante Kwassi’Raia wa Ghana[anayefuatia simkumbuki na wa mwisho waliochutama ni Nickolaus Gyhani. Raia wa Ghana ambaye kwa sasa anakipiga Singida Big Stars
 
Kushoto waliosimama ni fundi wa Mpira Emmanuel Okwi’Raia wa Uganda, anayefuatia ismkumbuki. 
 
Mzamiru Yasini’Kiungo Punda’Aishi Manura’Tanzania One’pembeni yake simkumbuki. Jonas Mkunde’Mluguru Og’ na Mwisho ni Nahodha John Bocco ‘Adebayyo’

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...