Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, May 20, 2023

ASKARI WILAYA YA GAIRO WASISITIZWA KUWA WAADIRIFU








 

 
 Na Dustan Shekidele,Morogoro.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro ACP Alex Mkama amewataka askari kuwa waadilifu katika utendaji wao wa kazi ili kuliheshimisha jeshi la polisi kwa jamii.
 
Kamanda Mkama ameyaeleza hayo alipofanya kikao cha kazi na maofisa wakaguzi na askari wa wilaya ya Gairo alipoenda kwaajili ya ukaguzi Mei 20, 2023.
 
Aidha kamanda Mkama alisisitiza kuviishi vithaminiwa vingine vya Polisi ambavyo ni nidhamu, utii na utendaji wa haki. 
 
Vilevile, aliwataka askari kuboresha mahusano na jamii kwa lengo la kupata taarifa za uhalifu ili kuzifanyia kazi, huku alisisitiza 
 
Wakaguzi na askari kata kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya miradi ya Polisi.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...