Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, April 16, 2023

APRIL 16 IMEPITA KWA SIMBA KUPELEKA MAJONZI YANGA.


 


Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Kuna tofauto kubwa kati ya Nuru na Giza, Kuna umbali mrefu kati ya mbingu na Ardhi pia kuna tofauti kubwa kati na timu inayoshiriki Kabla Bingwa Afrika na ile inayoshiriki kombe la shirikisho barani Afrika.

Jioni ya leo Simba iliyotinga robo fainali ya michuano ya Kabla Bingwa Afrika wamefanikiwa kuwachapa Mahasimu wao Yanga iliyotinga pia robo fainali ya michuano ya shirikisho barani Afrika kwa bao 2-0.

Mara baada ya gemu hiyo iliyopigwa Uwanja wa Mkapa Jijini Dar kutamatika Mwandishi wa Mtandao huu alizunguka mitaaani na kukusanya matukio kibao yaliyoibuliwa na mashabiki wa Simba wakati wakishangilia ushindio huo.

 Picha za matukio hayo zitaruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...