Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, November 11, 2022

KUMBUKIZI,MACHANGUDO WADAKWA NA POLISI USIKU MNENE

Dada poa hao wauza sukari wakielekea kwenye Difenda la Polisi baada ya kukamatwa usiku mnene wakidaiwa kuuza miilia yao
Baadhi ya dada poa hao wakiwa chini ya Ulinzi Mkali wa afande wa kike aliyesimama nyuma yao


 Dada poa hao wauza 'sukari'wakificha sura zao ndani ya Difenda la Polisi baada ya kuona kamera za Mlala Nnje zikiwamulika


 Na Mlala Nnje Dunstan Shekidele,Morogoro.

Tukio hili limetokea takribani miaka 5 iliyopita ambapo baadhi ya wanawake wanadaiwa kufanya biashara haramu ya kuuza miili yao'Machangudoa' a.k.a dada pouwa wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya kukamtwa wakidaiwa kufanya mapenzi nyakati za usiku kwenye Malori eneo la ltingi Msamvu mkoani Morogoro.

 

Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na Mwandishi wa Mtandao huu walifanya Oparesheni Maalumu ya kuwakamata Machangundoa hao

 

 Habari hii ilitoka kwenye Magazeti ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.   ......Shekidele akiungana kwen...