Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, November 30, 2022

KUMBUKIZI YA MNUSO




Hii ni miaka 10 iliyopita Mtangazaji Marufu wa Radio One Tumie OmariPichani mwenye rangi mikononi ‘Piko’ siku kwenye Send Off yake iliyofanyika Morogoro na kuhudhuri na Waandishi wenzaka wa Mkoa wa Morogoro. Akiwemo Hamida Shariff anaye tafuna kipaja cha kuku.

 

Picha no 2 Hamida anayepiga kazi gazeti la Mwananchi akicheza Taarab na Mwandishi mwenzake Ratifa Ganzel anayepiga kazi Magazeti ya Uhuru na Mzalendo kwa sasa Ratifa  ni diwani wa Viti Maalumu kwa leserni ya CCM Picha zote na Dunstan Shekidele


 

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...