Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, November 19, 2022

HAKIKISHO LA ULINZI WA MUNGU

                   Mwezi ukiangaza dunia nyakati za usiku
Jua likichomoza kwenye moja ya Milima ya Uluguru iliyopo Manispaa ya Morogoro

 Mtumishi wa Mtandao huu akiangalia Milima ya Uluguru iliyopo Mgeta Wilaya ya Movomero Mkoa wa Morogoro


“ Nitayainu Macho yangu nitazame Milima. Msaada wangu utatoka wapi?.

 

Msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi.

 

Asiuache Mguu wako usogezwe Asisinzie akulindaye.

 

Naam hatasinzia wala hata lala usingizi,yeye aliyemlinzi wa lsraeli.

 

Bwana ndiye Mlinzi wako, Bwana ni uvuli mkono wako wa kuume.

 

Jua halitakupiga mchana, wala Mwezi wakati wa usiku.

 

Bwana atakulinda na mabaya yote Atakulinda nafsi yako.

 

Bwana atakulinda utokapo na uingiapo.

Tangu sasa na hata milele” Hilo ndilo neno letu la Leo Jumapili ya Novemba 20.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...