Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, September 9, 2022

KUMBUKIZI YA BABA NA MWANA.

Mrisho Ngassa akiwa na uzi wa Simba, ifahamike Ngassa alimeahi kuzitumikia timu kubwa za Yanga Simba na na Azam kwa nyakati tofauti
Mwandishi wa Mtandao huu[kushoto] akifanya mahojiano na Mzee Ngassa kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro wakati Toto Afrika ilipocheza na Polisi Morogoro.
Mwandishi wa Mtandao huu akizunguka Mitaa mbali mbali ya Mji wa Morogoro akiwa na Mzee Tegete, Mara baada ya Toto Afrika kucheza na Burnafaso kwenye Uwanja wa Jamhuri.
                         Jerrson Tegete akiwa na Jezi ya Yanga.
 


 MASTAA BABA NA MWANA.
Familia Mastar baba na Mwana.
Mwandishi wa Mtandao huu akiwa na Wazazi wa wachezaji nyota wa zamani wa timu kubbwa nchini za Simba na Yanga na Azam.
 
Wachezxaji hao ni  Mrisho Kalfan Ngassa aliyewahi kuzitumikia timu za Simba, Yanga na Azama na Jerrson Tegete aliyeahi kuzitumikia timu za’Yanga, Stend ya Shinyanga na Toto Afrika ya Mwanza.
 
 Wazazi wao nao ni Mastaa Mzee  Ngassa na Mzee Tegete kwa nyakati tofauti waliwahi kuifundisha timu ya Toto Afrika ya Jijini Mwanza. ambayo kwa sasa imefifia kwenye merdani ya soko la Tanzania inashiriki madaraja ya chini ngazi ya Mkoa.
 
 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...