Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, September 21, 2022

CHIPSI ZA MPEMBA ZATIKISA MOROGORO.







 


            Na Dunstan Shekidele.Morogoro.

Muza Chipsi Maarufu Mkoani Morogoro Hassan Mpemba Almarufu ‘Hanc Mpemba’kwa sasa umeuteka Mji wa Morogoro na hudumza zake safi za biashara ya Chips na Kuku wa wakaanga.

 

Banda hilo Maarufu la Chips liko Maeneo ya 4 Way Mwembesongo ukitoea mataa ya Msamvu Kituo cha Polisi ukishuka na barabara ya lami kuelekea Kichangani pembezoni mwa baa ya Maraha utakutana na banda hilo la Hanc Mpemba.

 

Hanc Mpemba pia anatoa huduma ya kusambaza Maofisini,Chips Kuku Chips Nyama Choma Ndizi za kukaa Mishikaki kwa mtu yoyote anayehitaji kupelekewa huduma hizo wasiliane na Hanc Mpemba kwa namba 0719 26633.

 

  Ofisi ya Hanc Mpemba pia inauza Vinjwaji baridi aina zote,Maji safi aina zote

 

Akizungumza na Mtandao huu juzi Mkurugenzi wa banda hilo Hassan Mpemba[Pichani anayekaanga Chipsi] alisema ofisi yake pia inatoa huma ya Vitafuno. Chips vipaja vya kuku nyama choma kwenye sherehe mbali mbali kama Vile Kitchen Party, Send Off,Harusi na Washa mbali mbali kwa bei nafuu sana.

 

Juzi Mwandishi wa Mtandao huu alitinga kwenye ofisi hiyo na kugonga Chips Kuku huku akivutiwa zaidi na  Vionjo kwa maana ya Chachandu tamu iliyochanganywa na ukwaju, kebich, Toma Sos na Pili pili ya kusaga.

 

Kwa yoyote atayefika kwenye ofisi hiyo ya Hanc Mpemba ambayo kwa sasa ndio habari ya Mjini atakubaliana na kauli yangu.

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...