Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, July 11, 2022

HATIMAYE TUMEMPUNZISHA MTANGAZAJI WA SUA TV KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE


 INAUMA SANA
Mtoto pekee wa Marehema Catherine Ogesa.Michael Edward akisaidiwa kuweka shada la Maua kwenye kaburi la Mpendwa Mama yake.
Marehema Cathe amepunzishwa leo saa 11 jion kwenye nyumba yake ya Milele nyumbani Kwao Kahama Mkoani Shinyanga.

No comments:

Post a Comment

MUNGU ANASEMA WATU WABAYA NI KAMA BAHARI ILIYOCHAFUTA,HUTOA TOPE NA TAKATAKA.

Dustan Shekidele akifanya mahojiano na Watumishi wa Mungu Askofu Jacob Ole Mameo wa KKKT Jimbo la Morogoro.   ......Shekidele akiungana kwen...