Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, May 1, 2022

UJUMBE WA NENO LA MUNGU LEO JUMAPILI YA MAY MOSI

Mwandishi wa Mtandao huu akipewa habari na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro. RPC Faustin Shilogile
Mwandishi wa habari hzi akimhoji aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Poul Makonda kulia]
Mwandishi wa  Mtandao huu kushoto akimhoji aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Abdallah King Kibaden Mputa
 

YEREMIA 18 -9

 

“Nawakati wowote  nitakapotoa habari  za taifa na habari za Ufalme kujenga na kuupanda”Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya May Mosi.

 

Somo hili linatuasa sisi Waandishi wa habari kuandika habari za kweli zenye lengo la kujenga taifa letu na tuepuka kuandika habari za uchochezi zitakazolibomoa taifa letu.

 

 

Hali kadharika Wafalme kwa Maana ya Viongozi nao wanakiwa kuwa wepesi kuwapa bahari za kweli  Waandishi wa habari  wenye dhamani ya kufikisha habari hizo kwa Wananchi.

 

.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...