Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, February 10, 2022

KUMBUKIZI.

                         Hamida Sharrif katika Ubora wake

 


Mwandishi wa habari Mwandamizi wa Gazeti la Mwananchi Mkoani Morogoro. Hamida Sharrif. 
 
Akijimwaya mwaya ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mwanake dunia, Show hii ilikuwa Mach 8- 2012 wakati huo Madam Hamida angali bint Mbichi kabisa. akiimba na kucheza wimbo wa lsha Mashauzi 'Nani Kama Mama'
 
Kati ya Wandishi wa habarini ninaowaheshimu na kuwakubari miongoni mwao ni Madam Hamida hana baya na Mtu.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...