Pichani aliyesimama ni Mwandishi wa habari hizi akiwasirisha Mada kwenye Semina ya Waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Morogoro na Njombe iliyoandaliwa na T.C.R.A.
Katika Semina hiyo Kigogo wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania alishauri Wanandoa kutopeana namba za siri za simu zao kwa lengo la kuepusha Uvunjifu wa sheria za kimtandao.
Akitolea Kigogo huyo alisema “mfano Mwanandoa anaweza kuamka usiku na kupekua simu ya mwenzi wake akikuta Meseji za mapenzi atatumia namba hiyo hiyo ya Mwenzi wake ambaye wakati huo atakuwa usingizini.
na kumtukana matusi ya nguoni aliyetuma Meseji hiyo.
Aliyetukanwa akipereka ushahidi wa Meseji hizo Polisi au Mahakamani Mmiliki wa Simu hiyo ndiye akayekamatwa na kushitakiwa kwa Mujibu wa sheria za Kimatandao.
NUKUU YA LEO JANUARI 11-2022.
Ifahamike kwamba katika maisha ya binadam awaye yote ana pokea shahada kuu tatu katika Maisha yake hapa chini ya jua.
Shahada ya kwanza ni Kuzaliwa ya Pili Ndoa kuoa au kuolewa’Mapenzi’ na Shahada ya Tatu na ya Mwisho ni Kifo.
Pichani aliyesimama ni Mwandishi wa habari hizi akiwasirisha Mada kwenye Semina ya Waandishi wa habari kutoka Mikoa ya Morogoro na Njombe iliyoandaliwa na T.C.R.A.
Katika Semina hiyo Kigogo wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania alishauri Wanandoa kutopeana namba za siri za simu zao kwa lengo la kuepusha Uvunjifu wa sheria za kimtandao.
Akitolea Kigogo huyo alisema “mfano Mwanandoa anaweza kuamka usiku na kupekua simu ya mwenzi wake akikuta Meseji za mapenzi atatumia namba hiyo hiyo ya Mwenzi wake ambaye wakati huo atakuwa usingizini.
na kumtukana matusi ya nguoni aliyetuma Meseji hiyo.
Aliyetukanwa akipereka ushahidi wa Meseji hizo Polisi au Mahakamani Mmiliki wa Simu hiyo ndiye akayekamatwa na kushitakiwa kwa Mujibu wa sheria za Kimatandao.
No comments:
Post a Comment