Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, December 6, 2021

RAIS WA TFF TAIFA WALES KARIA JANA AMETINGA UWANJA WA jAMHURI KUSHUHUDIA HATUA YA MWISHO LIGI DARAJA LA 3 MKOA WA MORO ATOA NENO SOKA LA TANZANIA.



Moro kids yainyuka timu ya UDC Kutpka Ulanga bao 3-1 , mchezo huo mkali uliopigwa jana uwanja wa Jamhuri Morogoro na kushuhudia wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania'TFF' Wales Karia. Pichani beki wa Morogoro Benomo Raphael kulia akimkaba kwa style ya Kumchomekea winga wa UDC Ulanga Chande Nduwa.
Habari na [icha zaidi za matukio ya uwanjani na za Rais wa TFF endelea kuwa jirani na Mtandao huu Muda wote.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...