Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, November 9, 2021

MASTAA WA TAIFA STAR WATINGA KWA KOCHA WAO WAKIWA NA WATOTO WACHANGA

Nickson Kibabage[kushoto] akiwa na Ticha   Majuto Hamis aliyembena Mtoto

 Kibwana Shomari Kushoto akiwa ma Mwanayekulia ni Ticha Majuto


                             Na Dunstan Shekidele, Morogoro.

BEKI kisiki wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Kibwana Shomari’Sekulu’ hivi karibuni alitinga nyumbani kwa kocha aliyeibua Kipaji chake akiwa na Mwanaye Mchanga’ 

 

 Mara nyingi Kila anapofika Mkoa Morogoro Kibwana lazima atinge nyumbani kwa  Kocha  Majuto Hamisi anayeishi Kichangani Manispaa ya Morogoro.

 

Safari hii Kibwana alitinga Kwa Ticha Majutoa kwa lengo la kumtamburisha bint wake huyo wa kike.

 

Picha no 2  Beki tegemeo wa timu ya K.M,C na Timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Nickson Kibabage[kushoto]  hivi akaribuni alimwarika Ticha Majutoa Hamis kwenye shughuri ya Ubatizo wa Mdogo wake aliyepakatwa na Ticha Majuto Familiya ya Kibabage inaishi  eneo la ACACIA Mawenzi Kata ya Kiwanja Cha Ndege Manispaa ya Morogoro.


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...