Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 23, 2021

WAZIRI WA TAMISEMI APOZI KWENYE PICHA NA MADIWANI WA MANISPAA YA MORO

DIWANI Kipenzi cha wana Kata ya Mbuyuni Mh Samwel Msuta'mwenye Miwani aliyesimama,juzi aliwaongoza madiwani wote wa Kata 29 za Manispaa ya Morogoro kupiga Picha ya Pamoja na Mawazi.
Waziri wa TAMISEMI Mh Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo wakiongozwa na mwenyeji wao Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Martini Shigella kushoto aliyeketi'


 
Diwani wa Kata ya Uwanja wa Taifa Mh Matesa 'Mwanamchi' na Uzi wake wa Yanga akiwa bize kuchati jirani yake mwenye koti anayeangua kicheko ni Naibu Meya ambaye pia ni diwani wa Kata ya Saba saba Mh Lukwere
Picha na Dunstan Shekidele,Morogoro.



No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...