Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, September 12, 2021

UJUMBE WA NENEO LA MUNGU LEO JUMAPILI, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE


 

 WARAKA WA YAKOBO 4. 1-7

“Vita vya toka wapi na mapigano yaliyoko kati yenu yatoka wapi? Si humu katika tamaa zenu  zifanyazo  vita katika Viungo vyenu?.

 

Mwatamani wala hamna kitu .Mwaua na kuona wivu wala hamwezi kupata Mwafanya vita na kupigana wala hamna kitu kwa kuwa hamwombi.

 

Hata mwombapo wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya ili mvitumie kwa tamaa zenu.

Enyi wazinzi hamjui ya kwamba kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu.?

 

Basi kila atakaye kuwa rafiki wa dunia hujifanya kuwa adui wa Mungu.

Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema bure?

Huyo roho akaaye ndani yenu hatutamani kiasi cha kuona wivu?.

 

Lani hatujalia  sisi Neema iliyozidi kwa hiyo husema Mungu huwapinga  wajikuzao, bali huwapa Neema wanyenyekevu.

Basi Mtiini Mungu mpingeni shetani naye atawakumbatia”

Hilo ndio neno letu la leo Jumapili ya Septemba 12

 Mwenye masikio na asikie asiye na masikio………

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...