Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, August 22, 2021

Twaha Kiduku akiwa ndani ya gari la Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood[kulia]Tulipofika maeneo ya Mji Mpya Twaha Kiduku alishuka kwenye gari la awari ambalo pia ni la Mh Abood akapanda kwenye V8 Shangingi la Mbunge huyo 

 Twaha kiduku kulia akiwapungia mamai ya watu waliofulika eneo la Msamvu kushoto ni Kocha wa bonde huyo Charles Mbwana'Pawer lranda' Mwandishi wa Mtandao huu pekee ndiye aliyepata nafasi kwenye gari hilo la wazi ambalo alipanda Twaha Kiduku. 

Muda huu Msafara huo wa Kiduku akiwa na ndika yake unawasili katikatika ya Mji wa Morogoro ambapo Mtandao huu umekusanya matukio kibao yakiwemo ya Exclusive ya Video na Picha za Mnato.

Miongoni wa matukio hayo ya Mahojiano Maalumu na Promoto wa pambano hilo  'Mjeda'Kanali Selemani Semunyu ambaye pia ni Mwana Morogoro.

Hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...