Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, August 24, 2021

KUMBUKIZI YA KIGOGO UVCCM


 

KUMBUKIZI

HII ni Miaka 9 iliyopita Katibu  Mkuu wa Chama Cha Mapindu’CCM’ Wilaya ya Morogoro Mjini Ally Issa Ally[kushoto] akimkabidhi fomu  Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi’UVCCM’ Wilaya ya Morogoro Bi.Latifa Ganzel.

 

Baada ya kumaliza kipindi hicho cha Uongozi Ratifa ambaye pia ni Mwandishi wa habari Mwandamizi wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yanayomilikiwa na Chama hicho alikosa safi za kugombea tena nafasi hiyo baada ya kuvuka Umri.

 

Kwa sasa Ratifa kipenzi cha Wengi ni Diwani wa Viti Maalumu kwa leseni ya CCM

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...