Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, August 12, 2021

HAYATI SUDY NI MIONGONI MWA WATU WACHACHE SANA HAPA DUNIANI WALIOWEKA REKODI YA KUAGA DUNIA SIKU ILE ILE ALIYOKUJA DUNIANI.

                                               Kike
                                Sudy enzi za Uhai wake


Na Dunstan Shekidele,Morogoro. 

 

MPENDWA wetu Sudy Hamis Katoto ambaye kifo chake cha ghafla kilichotokea  Jumapili Agost 8 kwa ajari baada ya  boda boda aliyokuwa akiendesha kugongana uso kwa uso na gari maeneo ya Msamvu mkoani hapa kimewaumiza watu wengi.

 

Familia wanaamini kazi ya Mungu haina makosa lakini kikubwa  na cha faraja zaidi Mpendwa wetu ni miongoni mwa watu wachache walioweka rekodi ya kufariki dunia siku ile ile ambayo wamezaliwa.

Mpendwa Wetu Sudy akiwa bado kijana mdogo  alizaliwa  Agost 8 miaka kadhaa iliyopita na juzi Agost 8 akisubiri muda muafaka ufike ili akate keki yake ya kumbukizi yake ya kuzaliwa ‘Happy Birthday’ aliyoiandaa mapema alifariki dunia kabla hajakata kike  hiyo ambayo tuliyobahatika kuiona turishindwa kuyazuia machozi yetu yasichomoze kwenye mboni za macho yetu.

      Innalilah Wainna Illaih Rajiun

 
 

No comments:

Post a Comment

DAKTARI NA MTANGAZAJI WAFUNGUKA MAZITO MADHARA YA MTOTO MCHANGA KUKATISHWA ZIWA LA MAMA.

Somo Farha Abraham akiwa studio za Planet Fm. Daktari Sadick Juma akizungumza na Mwandishi wa habari hizi.     Na Dunstan Shekidele,Moro...