Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, July 23, 2021

KUELEKEA GEMU YA SIMBA NA YANGA MAPYA YAIBUKA.

Huyu ndiye Kocha aliyeibua Kipaji cha beki kisiki wa Yanga Dicson Job toka akiwa na umri wa miaka 10

                 ...Beki wa Yanga Dickson Job akiongea na simu


                     Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

Kuelekea gemu ya watani wa jadi Simba na Yanga, kocha Phares John ambaye ndiye aliyeibua kipaji cha beki wa Yanga Dikson Job, akiwa na timu ya watoto kuanzia miaka 10 mpaka 20 ya Compassin iliyopo ndani ya kanisa kuu la Anglikana Morogoro.

 

Amefunguka kwamba alipoongea kwa simu na beki huyo alimthibitishia kwamba kwenye gemu ya Simba na Yanga Tarehe 3 mwezi huu ni kweli aliushika Mpira ndani ya 18 kwa bahati mbaya.

 

lngia shekideletz.blogspot.com na YuoTube ya shekidele onli tv umsikie Mubashara kocha huyo ambaye pia ni shabiki lia lia wa Yanga akithibitisha hilo kwenye mahojiano hayo ya chini ya kapeti.


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...